Simba yawapiga na kitu kizito Orlando Pirates - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yawapiga na kitu kizito Orlando Pirates

Simba yawapiga na kitu kizito Orlando Pirates 

Ni kesho YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako download app yetu kuitazama mechi hii live bure kabisa idownload sasa bonyeza 👉🏻HAPA

 

Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini inadaiwa kumshawishi kiungo Augustine Okejepha ajiunge nao akitokea klabu ya Rivers United ya Nigeria

Hata hivyo Pirates wameambulia patupu baada ya mchezaji huyo kuweka msimamo kuwa msimu ujao atacheza klabu ya Simba ya Tanzania

Taarifa za uhakika ni kuwa Simba ilikamilisha usajili wake mapema mwezi huu na kinachosubiriwa ni utambulisho wake

Imeelezwa Pirates walikuwa tayari kutoa Milioni 500 kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo bora wa kikosi cha Rivers United msimu uliopita

Okejepha anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo sambamba na wachezaji wengine waliosajiliwa na Simba tayari kwa pre-season itakayofanyika huko MisriDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz