Simba yatumia milioni 300 kumshusha Mukwala
Ni kesho YANGA vs SAFARI CHAMPIONS usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako download app yetu kuitazama mechi hii live bure kabisa idownload sasa bonyeza 👉🏻HAPA
Klabu ya Simba imetumia zaidi ya Sh300 milioni kupata saini ya straika Mganda, Steven Dese Mukwala (24) ambaye alikuwa akiwaniwa na klabu mbalimbali ikiwemo FC Petrocub Hincesti ya Moldova.
Straika huyo anasifika zaidi kwa kutumia mguu wa kulia na uwezo mkubwa wa kufunga kwa kichwa, huku kasi na mabavu zikiwa sifa zake za ziada.
Msimu uliopita aliibuka mfungaji bora namba mbili wa Ligi Kuu ya Ghana kwa kufunga mabao 14 na Assists 5.
Serikali, wafanyabiashara wakubaliana kusimamia maazimio 15, TRA kusitisha kamatakamata.
Post a Comment