Simba yamuwinda ndugu yake Aziz Ki - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yamuwinda ndugu yake Aziz Ki

Simba yamuwinda ndugu yake Aziz Ki

Michuano ya EURO 2024 inaanza muda si mrefu usikose kutazama live mechi zote bure kabisa bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi zote live bure pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za azam tv na dstv buree kabisa bofya sasa kudownload

Imeripotiwa kwamba, Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na beki wa kushoto wa timu ya taifa ya Burkina Faso na FC Saint Eloi Lupopo ya DR Congo, Valentin Nouma kwa ajili ya kuipata huduma yake.

Simba ambayo imepanga kujiimarisha zaidi kuelekea msimu ujao, inaamini kwamba beki huyo anayecheza kikosi cha Burkina Faso sambamba na kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki, anaweza kuwa mtu sahihi kwao kwa ajili ya michuano ya Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Uamuzi wa Simba kusaka beki wa kushoto umekuja baada ya kumtumia kwa muda mrefu nahodha wao, Mohamed Hussein 'Tshabalala' ambaye anaonekana mpinzani wake ameshindwa kupatikana.

Mbali na Nouma, Simba hapo awali ilikuwa ikitajwa kuwa kwenye mazungumzo na beki Joyce Lomalisa aliyemaliza mkataba ndani ya Yanga lakini inaelezwa kuwa baadhi ya mabosi wa timu hiyo hawamtaki beki huyo raia wa Congo.

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA XX ( WAKUBWA ) UJIFUNZE MAUTUNDUDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz