Samatta aomba kustaafu Timu ya Taifa - EDUSPORTSTZ

Latest

Samatta aomba kustaafu Timu ya Taifa

Samatta aomba kustaafu Timu ya Taifa

Mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia kwa mataifa ya africa na nje zinaendelea leo usikose kuzitazama mechi hizi live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app inayoonesha mechi hizi live buree kabisa kwenye simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel zote za azam tv na Dstv bure bofya sasa kuidownload

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limekiri kupokea barua ya kutaka kujiuzulu kwa nahodha wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagol’, lakini imemkaushia kwamba hadi watakapofanya kikao cha pamoja ili kujadiliana naye.

Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao, amefafajua juu ya jambo hilo akisema kwamba hawapo tayari kumuona Samatta anajiuzulu kuitumikia timu ya taifa na wamepanga kukutana naye kwanza ili wazungumze.

“Huwezi kumuacha mchezaji mwenye CV kubwa kama yake, anajiuzulu kirahisi, sisi kama viongozi wa TFF, hatupo tayari kwa hilo, tutakaa chini kuzungumza naye,” alisema Kidao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz