Konkoni aikaanga Yanga, yafungiwa kusajili - EDUSPORTSTZ

Latest

Konkoni aikaanga Yanga, yafungiwa kusajili

Konkoni

Mechi za EURO 2024 zinaendelea usikose kutazama mechi hizi live bure kwenye simu yako nenda playstore andika NIJUZE TV kisha download app hiyo kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hiyo kuna muvi zilizo tafsiriwa pamoja na chanel za Azam tv na Dstv buree nenda kaidownload sasa

Klabu ya Yanga imekutana na rungu jingine la kufungiwa kusajili wachezaji wapya kwa msimu wa 2024/25 kutokana na kukiuka kanuni za usajili za FIFA.

Imeelezwa kuwa mchezaji anayeidai Yanga ni Hafiz Konkonim ambaye alivunjiwa mkataba wake kwenye dirisha dogo lililopita na nafasi yake kuchukuliwa na Joseph Guede.

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), iliyotoka Juni 18, imezitaka klabu zote zinazodaiwa  na wachezaji wao kuwalipa haraka kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz