Kwa Mujibu wa mChambuzi wa Michezo Hansrafael ameandika,
"Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah "Try again" alitaka kumbakisha Chama,ila Rais wa heshima wa Klabu hiyo, Mo Dewj hayuko tayari kubaki na Chama,badala yake amemwambia Try again kama unataka kumbakisha Mwamba wa Lusaka Signing fee yake (Ada ya kusaini) utatoa wewe kitu ambacho Try Again hayuko tayari kufanya.
Mo anahitaji sura mpya na damu changa ila Try Againanahisi Chama bado ana miaka miwili ya kuitumikia Simba.
Upande mwingine Chama tayari amekubaliana kila kitu na Yanga,kuanzia ada ya kusaini (Signing fee), bonus, Mshahara,makazi na usafiri….kinacho subiriwa ni kumwaga wino pale mkataba wake utakapomalizika na Simba.
Narudia tena msimu ujao Chama na Pacome watacheza timu moja".
Post a Comment