Klabu ya Simba SC wametua kwenye Klabu ya Hafia SC kwa ajili ya kuhitaji saini ya viungo wawili Mohamed Damaro Camara (21) na Ousmane Fernandez Drame (23).
Klabu ya Simba SC wametua kwenye Klabu ya Hafia SC kwa ajili ya kuhitaji saini ya viungo wawili Mohamed Damaro Camara (21) na Ousmane Fernandez Drame (23). Taarifa kutoka Simba zinaeleza kuwa, hilo ni chaguo la kwanza la usajili msimu huu kwa ajili ya kuziba nafasi za Fabrice Ngoma na Sadio Kanoute ambao inasemekana wataachana na Simba mwishoni mwa msimu huu.
Post a Comment