Miquissone "bye bye" Msimbazi, Mshahara wake kikwazo - EDUSPORTSTZ

Latest

Miquissone "bye bye" Msimbazi, Mshahara wake kikwazo

Jose Luis Miquissone

Ni leo Kagera sugar vs Simba usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi hii live bureee

Tetesi kutoka katika Klabu ya Simba SC,zinasema kuna uwezekano mkubwa wa Klabu hiyo kuachana na nyota wake Luis Jose Miquissone "KONDE BOI".

Chanzo kinasema, "matarajio ya klabu na Uongozi wakati tunamrejesha Miquissone yalikuwa makubwa na huduma aliyotupatia na kwa bahati mbaya gharama na mshahara wake ni mkubwa kwa hivyo ni bora tukaachana naye na kutafuta mchezaji mwingine.”

Kazi kwenu Wananchi, Konde Boy anabaki nchini au aondoke?Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz