KIKOSI Cha Tanzania Kilichoitwa vs Zambia Kufuzu Kombe la Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

KIKOSI Cha Tanzania Kilichoitwa vs Zambia Kufuzu Kombe la Dunia

 KIKOSI Cha Tanzania Kilichoitwa vs Zambia Kufuzu Kombe la Dunia

Ni kesho ligi inatamatika huku ni Yanga vs Tz prison kule ni Simba vs Jkt tanzania usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live buree kabisa bofya sasa kuidownload mapema ili kuepuka usumbufu pia kwenye app hii kuna yale mambo yetu yale

KIKOSI Kamili Cha Tanzania Kilichoitwa vs Zambia Kufuzu Kombe la Dunia

MAKIPA
1:Ally Salim – Simba SC.
2: Abutwalib Mshery – Young Africans.
3:Kwesi Kawawa – Syrianska FC, Sweden.
4:Yonna Geoffrey – Tanzania Prisons.

MABEKI
5:Haji Mnoga – Aldershot Town, England.
6:Bakari Mwamnyeto – Young Africans.
7:Ibrahim Abdallah – Young Africans.
8:Nickson Kibabage – Young Africans.
9:Mohamed Hussein – Simba SC.
10:Lameck Lawi – Coastal Union FC.
11:Israel Mwenda – Simba SC.
12:Mukrin Issa – Ihefu FC.
13:Lusajo Mwaikenda – Azam FC.
14: Pascal Msindo – Azam FC.
15:Nathaniel Chilambo – Azam FC.

VIUNGO
16:Novatus Dismas – Shakhtar Donestsk, Ukraine.
17: Yusufu Kagoma – Singida Fountain Gate.
18:Morice Michael – RFK Novi Sad, Serbia.
19:Himid Mao – Tala’ea El Gaish SC, Egypt.
20:Mudathir Yahya – Young Africans.
21:Feisal Salum – Azam FC.
22:Yahya Zaydi – Azam FC.
23:Abel Josiah – TDS (TFF Academy)

WASHAMBULIAJI
24:Edwin Balua – Simba SC.
25:Simon Msuva – Alnajmah FC, Saudi Arabia.
26:Kibu Denis – Simba SC.
27:Cpyrian Kachwele – Whitecaps FC 2, USA.
28:Ben Starkie – Likeston Town, England.
29:Charles M’mombwa – Marcathur FC, Australia.
30:Waziri Junior – KMC FC.
31: Ibrahim Hamad – Zimamoto FC.
32:Kelvin Pius John – KRC Genk, Belgium.
33:Clement Mzize – Young Africans.
34: Abdul Suleiman – Azam FC.

Wachezaji wa Young Africans na Azam FC watajiunga na timu baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF Maarufu CRDB Bank Federation Cup itakayofanyika June 02 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz