Aziz KI: Nitafanya makubwa msimu ujao nikiwa na timu hii hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Aziz KI: Nitafanya makubwa msimu ujao nikiwa na timu hii hii

Stephen Aziz KI

Ni kivumbi na Jasho jumapili hii ni Yanga vs Azam Fc mechi ya kibabe mechi ya kisasi ni fainali itakayo sisimua kila upande usikose kuitazama mechi hii live bureee kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi hii live bure kwenye simu yako pia yale mambo yetu yale yapo

Baada ya mchezo kumalizika kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye ni Mfungaji bora kwa msimu huu (2023/24 ) Stephane Aziz Ki , kwenye mazungumzo na kituo cha habari cha Azamtvsports amejipongeza kwa msimu mzuri lakini ametoa kauli inayoashiria kuwa msimu ujao ataendelea kubaki Yanga , Aziz amesema

“Nitakuwa bora zaidi msimu ujao nikiwa na timu hii hii inshaAllah”

Kauli hiyo inazidi kuacha maswali kwa Mashabiki kwani inasemekana amemaliza Mkataba wake ndani ya Yanga na hajamalizan na uongozi kusaini Mkataba mpya.

Tayari inasemekana kuna vilabu kadhaa kutoka Barani Afrika vimeonesha nia ya kumuhitaji Staa huyo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz