Mtangazaji Paul Mkai ameibua zengwe kuwa, kuna baadhi ya vigogo ambao wanaanzisha vuguvugu la kutaka kumtimua kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha.
Amesema watu hao ni miongoni mwa wale washauri 21 walioteuliwa na Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji.
“Kuna baadhi ya Wajumbe wa bodi ya Simba na lile kundi la Washauri 21 baadhi yao wamemuundia zengwe Benchikha afukuzwe ndani ya Simba Sc” @paulmkaitz
No comments:
Post a Comment