Simba wanajiandaa na maisha mapya bila Inonga - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba wanajiandaa na maisha mapya bila Inonga

Simba wanajiandaa na maisha mapya bila Inonga

KVZ vs SIMBA ni leo unaanzaje kuikosa mechi hii bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live buree kabisa ili uweze kuitazama mechi hii kwenye simu yako

Beki wa kati wa klabu ya Simba, Henock Inonga ameuambia Uongozi wa Simba kuwa anahitaji kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu na klabu imempa taarifa kuwa wameshakubali matakwa yake na atapewa baraka zote akiondoka rasmi.

Taarifa za kuaminika ni kuwa klabu ya Simba ilikuwa ikisubiri mrejesho kutoka kwa Abdelhak Benchikha ili klabu imshawishi abaki au wamuachie andoke klabuni hapo, FAR Rabat kutoka Morocco inatajwa kumalizana nae kwa mkataba wa awali na Henock Inonga.

Simba inajiandaa na maisha bila na beki wao wa kimataifa wa DR Congo, Henock Inonga kuelekea msimu ujao.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz