TETESI: Simba watuma ofa kwa Bakari Mwamnyeto - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Simba watuma ofa kwa Bakari Mwamnyeto

Bakari Nondo Mwamnyeto

Kudadeki ni Jumamosi hii Yanga vs Simba mechi ya kibabe mechi ya Kisasi usikose kuitazama mechi hii live bureee kupitia Simu yako bado unajiuliza utaitazama vipi au wapi bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live buree kabisa hakika ni mechi ya Kibabe bofya kudwownload mapema ili usipitwe

Beki wa mpira na Nahodha wa Klabu ya Yanga SC Bakari Mwamnyeto anamaliza Mkataba wake na waajiri wake hao na sasa ameanza mazungumzo mpya ya kuongeza Mkataba mpya.

Mbali na Yanga, Mwamnyeto tayari ana ofa mbalimbali kwa vilabu vingine ikiwemo Simba SC ambavyo vimeonyesha nia ya kuhitaji huduma yake.

Aendelee kuvaa uzi wa njano na kijani au nyekundu na nyeupe?Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz