Kikosi Cha Wananchi Yanga SC mapema leo kimeanza safari ya kwenda Afrika Kusini kuwavaa Mamelodi Sundowns kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Post a Comment