Mzamiru Yassin bado ana jambo lake Msimbazi - EDUSPORTSTZ

Latest

Mzamiru Yassin bado ana jambo lake Msimbazi

Kiungo wa Simba, Mzamiru Yassin

Kudadeki ni Namungo vs Simba ligi kuu tz bara unaanzaje kukosa kuitazama mechi hii live buree kabisa bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live buree bofya sasa

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba inasema Klabu hiyo imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi.

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba inasema Klabu hiyo imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi. Mzamiru amekuwa na wakati mgumu siku za karibuni kupata namba katika kikosi cha Simba lakini amekuwa na kiwango bora kila anapopata nafasi kikosini.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz