Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu.
Kwa msimu huu watatoa dollars laki moja sawa na shilingi milioni 255.
Na kwa sasa Kombe la FA litaitwa CRDB BANK FEDERATION CUP.
Mchanganuo wa Kiasi cha Billion 3.76 ni ikiwemo na makato ya kodi.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment