Klabu ya Yanga leo imetuma ofa yao kwenda klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji mshambuliaji wao Prince Dube.
Klabu ya Yanga leo imetuma ofa yao kwenda klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji mshambuliaji wao Prince Dube. Yanga wapo tayari kuvunja mkataba wa Prince Dube kwa dau la Tsh Million 512 huku wakitaka kulipa ada hii ya usajili kwa awamu mbili.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment