Yanga wakimchukua Dube, Azam wanamchukua Bacca - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wakimchukua Dube, Azam wanamchukua Bacca

Yanga wakimchukua Dube, Azam wanamchukua Bacca

Usikose kuitazama live bure mechi ya Yanga vs Ihefu kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa yaani unachotakiwa kuwa nacho ni mb za mia tano tu bofya sasa kudownload

Taarifa kutoka chanzo cha ndani kimethibitisha kuwa, Klabu ya Azam imefanya mchakato wa wa kutaka kuinasa saini ya beki wa kati wa Yanga SC, Ibrahim Hamad Bacca ili awe sehemu ya kikosi chao msimu ujao.

Chanzo hicho kimeeleza kuwa, licha ya matajiri hao wa Dar kumwekea mkwanja mrefu afande huyo, lakini ameonesha msimamo wake na kugoma kuzungumza na klabu hiyo kwakuwa yeye ni muajiriwa Yanga.

Bacca amesema ana mkataba na Yanga na anafuraha kuendelea kusalia Yanga kwa kuwa maslahi atakayo na mataji ni sehemu ya maisha yao.

Hii inakuja ikiwa ni siku chache baada ya mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kutangaza kuondoka ndani ya klabu hiyo akidai kuwa haina malengo na kubeba mataji huku akihusishwa kujiunga na Wananchi wa Jangwani 'Yanga SC'.

Itakumbukwa kuwa, mapema Novemba mwaka jana, 2023, Bacca, alisaini mkataba wa miaka minne kuendelea kuitumikia timu ya Yanga SC hadi mwaka 2027.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz