Gamondi Kocha Bora mwezi Februari - EDUSPORTSTZ

Latest

Gamondi Kocha Bora mwezi Februari

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi

Bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure kabisa pia ukidownload app hii utaweza kutazama muvi na sizoni zilizo tasfiriwa kwa kiswahili bonyeza sasa kudownload bureee

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC.

Gamondi ameiongoza Yanga katika michezo mitano ya Ligi kwa mwezi Februari akishinda michezo minne na kutoa sare mchezo mmoja.

Gamondi ameshinda tuzo hiyo akiwapiku Kocha Abdelhak Benchikha wa Simba na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz