RATIBA ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024 - EDUSPORTSTZ

Latest

RATIBA ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

 RATIBA ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 schedule, Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 results, Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 date, Ratiba ya robo fainali caf champions league 2023 2024 draw.

Simba vs Tanzania prison, Namungo vs Yanga Usikose kuzitazama mechi hizi live bure kupitia app yetu Bonyeza hapa kuidownload mapema Ili usipitwe

Baada ya kukamilika Kwa Mechi za hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa timu nane (8) kutoka Mataifa 7 zimefuzu hatua ya Robo Fainali na kinachosubiriwa ni droo itakayofanyika huko Misri keshokutwa March 05-2024.

Aidha timu zilizomaliza nafasi ya kwanza katika Makundi yao ni Mamelodi Sundowns ya South Africa, ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Petro Atletico ya Angola na Al Ahly SC ya Misri, wakati TP Mazembe ya DR Congo, Simba SC ya Tanzania , Esperance de Tunis ya Tunisia na Yanga SC ya Tanzania  zimemaliza katika nafasi ya Pili katika Kila Kundi.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA


Katika droo ya robo Fainali timu zilizomaliza nafasi ya pili zitapangwa dhidi ya timu zilizomaliza vinara katika kila Kundi.

Mechi za Robo Fainali mkondo wa kwanza zinatarajiwa kupigwa March 29-31, huku Simba na Yanga zikianzia nyumbani na kumalizia ugenini.

RATIBA Kamili ya hatua ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024 tutaiweka hapa hivi punde.

Orodha Kamili ya Vilabu vilivyofuzu hatua ya Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.

  1. Mamelodi Sundowns – South Africa.
  2. ASEC Mimosas – Ivory Coast.
  3. Al Ahly SC – Egypt-
  4. Young Africans – Tanzania.
  5. TP Mazembe – DR Congo
  6. Petro de Luanda – Angola
  7. Simba SC – Tanzania.
  8. Espérance de Tunis – Tunisia.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz