Azam FC kuumana na Yanga Marchi 17 - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC kuumana na Yanga Marchi 17

Azam FC kuumana na Yanga Marchi 17

Joto la Dabi ya Dar es Salaam tayari limeanza kupamba moto kwani, Azam FC anatarajia kuwakaribisha Yanga Marchi 17 mwaka huu katika dimba la Azam Complex-Chamazi jijini Dar.

Usikose kutazama Mechi zote ligi kuu tz Bara live bure bonyeza hapa kudownload app yetu Ili usipitwe na mechi hizi

Kwenye mechi mzunguko wa kwanza, Yanga iliwachapa 3-2 kwenye mchezo ambao Yanga walikuwa wenyeji katika Uwanja wa Benjamini Mkapa huku magoli yote ya Yanga yakiwekwa kimiani na Aziz Ki.

Kwenye msimamo kwa sasa, Yanga analingana na Azam kwa kuwa na alama 43. Azam amemzidi Yanga michezo mitatu akiwa amecheza 19, Yanga 16.

Je, Azam watalipa kisasi kwenye mechi hii ya mzunguko wa pili? Tusubiri muda utaongea.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz