Pigo kubwa Simba, Manula nje tena - EDUSPORTSTZ

Latest

Pigo kubwa Simba, Manula nje tena

Aishi Manula

Ni leo usikose kuitazama mechi ya Simba vs Al ahly live bure kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayo rusha mechi hii bure kabisa bofya sasa kuipakua

Klabu ya Simba imepata pigo baada ya mlinda mlango Aishi Manula kuripotiwa kupata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu kama ambayo yalimuweka nje mwanzoni mwa Msimu huu.

Manula anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kati ya miezi 10 hadi miezi 12.

Kukosekana kwa nyanda huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ni pigo kwa Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kuelekea michezo muhimu ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza kurindima leo.

Simba Sc itachuana na Mabingwa watetezi, Al Ahly kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali leo Machi 29, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 3:00 usiku.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz