Kisa Umasikini nilimshauri waifu akauze tunda! - EDUSPORTSTZ

Latest

Kisa Umasikini nilimshauri waifu akauze tunda!

Kisa umasikini nilimshauri waifu akauze tunda!

Kisa umasikini nilimshauri waifu akauze tunda!

Naitwa Elibariki kutokea Arusha nchini Tanzania, ni kijana wa miaka 28 kwa sasa, mwaka 2012 niliamua kuoa nikaamua kupanga nyumba mbali na nyumbani ili kuwa huru zaidi.

Maisha yalikuwa magumu haswa sikuwa na kazi zaidi ya vibarua vya hapa na pale, ikafikia wakati kulala njaa ikawa kawaida na mama watoto anavumilia, ikafika wakati nikadaiwa miezi mitatu sijalipa kodi ya nyumba, mwenye nyumba akaamua anifukuze.

Nikamuomba sana anipe wiki mbili nitafute sehemu ya kukaa, akakataa, sasa kuna jamaa nilimuhisi kama anamfukuzia mke wangu,  ikabidi nimuhoji waifu.

Waifu akakubali kuwa kweli jamaa huyo anamtaka na amekuwa akimsumbua mara kwa mara, nikaona hapa ndio kwa kutokea, ikabidi nimruhusu waifu amkubali jamaa yule lakini asifanye naye kitu.

Amuombe pesa ili tulipe kodi, ilikuwa ngumu kumshawishi waifu lakini baada ya muda alikubali, ningefanyaje mwanaume sina hela na sina mipango ya kupata hela.

Siku ya kwanza waifu akaniaga kuwa anakwenda kwa jamaa, roho iliniuma mno lakini sikuwa na jinsi, siku hiyo waifu alichelewa sana kurudi nikajua tayari jamaa ame, hivyo yaani.

Aliporudi waifu akanipa laki moja kisha nikamwambia kwa ukali aachane na jamaa yule, ile hela tukalipa kodi, baada ya muda yule jamaa akaanza kumsumbua waifu lakini akawa anampotezea.

Lakini mwisho wa siku waifu akafanya jambo na yule jamaa, ukawa ndio mtindo wao wa kila siku, waifu akawa anasema mimi ndio nilimshauri hivyo, ukawa ni ugomvi mkubwa kati yetu kwa sababu hakutaka kabisa kuachana na jamaa, sijui alimpa kitu gani.

Niliona hadi aibu kufikisha jambo lile kwa wazazi, nikawa naugulia maumivu tu moyoni mwangu, mwisho wa siku nilichoka na kuamua kutafuta dawa ya kumfunga mke wangu, yaani waifu.

Baada ya kuzunguka huko na kule nikakutana na Kiwanga Doctors kupitia mitandao ya kijamii, niliwasiliana naye na kumuomba anifanyie dawa ya kumfunga waifu asiweze kutoka nje ya ndoa.

Kweli alifanya hivyo, siku jamaa amekutana na waifu wangu wakajikuta wamenasiana, mimi kwa kushirikiana na Kiwanga Doctors ndio tuliweza kuwanasua, na tangu wakati huo waifu amekuwa mtulivu sana ndani ya ndoa yetu.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz