Tetesi zinadai kuwa Stephan Aziz Ki amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia kwenye klabu ya Yanga baada ya majadiliano ya pande zote mbili.
Tetesi zinadai kuwa Stephan Aziz Ki amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia kwenye klabu ya Yanga baada ya majadiliano ya pande zote mbili. Nyota huyo alikuwa anamaliza mkataba wake wa sasa mwishoni mwa msimu huuu na majadiliano baina ya pande zote yalianza toka mwishoni mwa mwaka jana na sasa yamefikia mahali pazuri na muda wowote atasaini mkataba mpya.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment