Gadiel Michael akichafua huko Cape Town - VIDEO - EDUSPORTSTZ

Latest

Gadiel Michael akichafua huko Cape Town - VIDEO

Gadiel Michael akichafua huko Cape Town - VIDEO

Kwa mara ya kwanza msimu huu timu ya Cape Town inayoshiriki Ligi kuu nchini Afrika Kusini #DstvPrem imepata ushindi back to back na kufikisha alama 10 wakiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo hii ina boost matumaini ya kupambania kusalia #DstvPrem.

Kwenye mechi hiyo Mlinzi wa kushoto raia wa Tanzania @gardielmichael alitoa pasi ya goli [ assist] ya bao la kwanza Bonyeza hapa kudownload app yetu Ili uweze kutazama Mechi zote za NBC premier league Bure kabisa

Cape Town 2-0 Galaxy ⚽️Cupido ⚽️Maphathe

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz