Dube atangaza rasmi kuachana na Azam FC - EDUSPORTSTZ

Latest

Dube atangaza rasmi kuachana na Azam FC

Dube atangaza rasmi kuachana na Azam FC

Usikose kuitazama mechi ya Yanga vs Namungo live buree bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili

Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.

Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka ,Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe.

Mchezaji huyu kwenye mechi ya jana. dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] Dube hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz