Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imefanya mabadiliko ya muda wa mechi ya Azam Fc dhidi ya Yanga ili kutoa muda wa wachezaji kufuturu.
Mechi itapigwa Jumapili hii Machi 17, 2024, saa 2:30 usiku ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Awali mchezo huo ulipangwa kupigwa 1:00 usiku
No comments:
Post a Comment