Azam FC yakiri kupokea ofa ya Prince Dube, Simba wajitosa - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC yakiri kupokea ofa ya Prince Dube, Simba wajitosa

Azam FC yakiri kupokea ofa ya Prince Dube, Simba wajitosa

Usikose kuitazama mechi ya Azam fc vs Yanga live bure bonyeza hapa kudownload app yetu ili uweze kuitazama mechi hii live bure kuoitia app yetu pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama sizoni ziilizo tasfiriwa kwa kiswahili bure

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea ofa 2 kwa ajili ya Mshambuliaji wao Prince Dube.

Ofa hizo mbili moja inatoka Simba SC ya Tanzania na nyingine inatoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan.

Aidha Klabu ya Azam bado inakaribisha ofa zaidi kutoka vilabu mbalimbali ambavyo vimevutiwa na mchezaji huyo.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPAz



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz