Tambo za Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe kuelekea mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabigwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaochezwa Machi 30, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 3:00 usiku.
Msikilize Ally Kamwe hapa Chini;
No comments:
Post a Comment