Kudadeki Mastaa Simba wawekewa kibunda kuiua Jwaneng kwa Mkapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Kudadeki Mastaa Simba wawekewa kibunda kuiua Jwaneng kwa Mkapa

Mastaa Simba wawekewa kibunda kuiua Jwaneng kwa Mkapa

USikose kuitazama mechi ya Simba vs Jwaneng Galaxy live bure kupitia simu yako download app yetu mapema Ili usipitwe bofya hapa Sasa kudownload app yetu bure

Simba inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi kuungana na Yanga ambayo tayari imefuzu na kuweka rekodi ya Tanzania kuingiza timu mbili kwenye hatua hiyo kwa msimu mmoja.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

Ili kuhakikisha hilo linatokea, vigogo wa Simba wamewawekea kibunda cha maana mastaa wake ikiwa kama hamasa ya kufanya vizuri zaidi na kuhakikisha wanaibuka na ushindi. Moja ya viongozi wa Simba amenieleza kuwa uongozi utatoa bonasi ya zaidi ya Sh600 milioni kwa wachezaji na bechi la ufundi kama chama hilo litashinda na kutinga robo fainali hiyo itakayokuwa ya tano kwa michuano ya CAF ndani ya misimu sita baada ya awali kuingia mara tatu kwenye ligi ya mabingwa na mara moja katika Kombe la Shirikisho Afrika.

“Unaweza kuchukulia poa lakini mechi bado ng-umu. Kuna bonasi uongozi utatoa kwa kikosi kama timu itafuzu robo fainali na kwa haraka haitakuwa chini ya Sh600 mil-ioni,” alisema kiongozi huyo.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz