Kwa mujibu wa sofascore ni kwamba Stephane Aziz Ki ndiye mchezaji aliyekuwa katika kiwango bora zaidi kuliko wachezaji wote waliocheza mechi za raundi ya 5 katika Ligi ya mabingwa Afrika.
Aziz Ki aliyefunga bao na kutoa assist katika mchezo dhidi ya Cr Belouzdad amekusanya alama nyingi zaidi katika raundi hii ya tano.
Mtandao huo maarufu wa Michezo umetoa alama kama ifuatavyo
1-Mostafa Shobeir-8.2
2-Badr Gaddarine-8.0
3-Yassine Meriah-7.9
4-Teboho Mokoena-8.0
5-Attohoula Kwasi-8.0
6-Houssem Teka-7.8
7-Glody Likonza-8.8
8-Marcelo Allende-8.1
9-Kennedy Musonda-7.8
10-Yan Sasse-8.0
11-Stephane Aziz Ki-8.9
Umemuona mchezaji yoyote wa Klabu yako, Dondosha jina
No comments:
Post a Comment