Yanga yawekwa na Al Ahly, Mamelodi Tuzo ya Klabu Bora Africa - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yawekwa na Al Ahly, Mamelodi Tuzo ya Klabu Bora Africa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Disemba 11 2023 tuzo za soka barani Afrika zitatolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)


Yanga imetajwa kuwa miongoni mwa klabu 10 zinazowania tuzo ya klabu bora ya mwaka barani Afrika


Mabingwa hao wa ligi kuu ya NBC kwa misimu miwili mfululizo wakiwa wameshinda mataji yote ya ndani, wanachuana na vigogo wengine kama Al Ahly, Mamelodi Sundowns, Wydad Athletic, Raja Casablanca, Esperance, ASEC, USMA, CR Belouizdad na Marumo Gallants


Kushinda mataji yote ya ndani, kucheza mechi 49 pasipo kupoteza mchezo na kufika fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC), kunaiweka Yanga katika nafasi kushinda tuzo hiyoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz