Aziz KI mchezaji Bora wa mwezi October Tuzo za Nic - EDUSPORTSTZ

Latest

Aziz KI mchezaji Bora wa mwezi October Tuzo za Nic

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezai bora wa mwezi Oktoba 2023


Ki ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura kwa wingi na mashabiki wa Yanga akiwashinda Dickson Job na Max Nzengeli


Mwezi Oktoba Aziz Ki alipachika mabao manne akifunga bao moja katika mchezo dhidi ya Geita Gold na kufunga hat-trik katika mchezo dhidi ya Azam Fc


Katika mwezi huo alikaribiwa na Max ambaye alipachika mabao matatu, alifunga mchezo dhidi ya Geita na akafunga mabao mawili mchezo dhidi ya Singida BS


Ki atapokea tuzo kutoka kwa Wadhamini NIC na fedha taslim Tsh Milion 4Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz