Kundi la Yanga Sc Klabu Bingwa Afrika 2023 CAF Champions League Group Stage 2023/2024 - EDUSPORTSTZ

Latest

Kundi la Yanga Sc Klabu Bingwa Afrika 2023 CAF Champions League Group Stage 2023/2024

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo huko Afrika  Kusini ambapo Yanga imepangwa kundi D


Katika kundi hilo Yanga itachuana na Al Ahly (Misri), Medeama (Ghana) na CR Belouizdad (Algeria)


Kundi A lina Nouadhibou, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns na Pyramids


Kundi B lina Jwaneng Galaxy, Asec Mimosas, Simba na Wydad Athletic


Kundi C lina Etoile Du Sahel,  Al Hilal, Petro Atletico na Esperance


Mechi za hatua ya makundi zitaanza kupigwa Novemba 24/25 mwaka huuDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz