Yanga kutumia Dimba la Mkapa hatua ya Makundi CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga kutumia Dimba la Mkapa hatua ya Makundi CAF

 

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Baada ya kutumia uwanja wa Azam Complex katika mechi za hatua ya awali na raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika, kuanzia hatua ya makundi Yanga itatumia uwanja wa Benjamin Mkapa


Dimba la Mkapa limefanyiwa ukarabati mkubwa ambapo awali ya kwanza ya ukarabati huo utakamilishwa mwishoni mwa wiki


Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeupitisha uwanja wa Mkapa kutumika na Yanga kwenye mechi za makundi na kuendelea


Mchezo wa kwanza nyumbani kwa Yanga ni dhidi ya Al Ahly na utapigwa Disemba 02


CAF imethibitisha viwanja 36 vitakavyoweza kutumika kwenye mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa AfrikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz