Wachezaji wa Yanga walio itwa timu za taifa - EDUSPORTSTZ

Latest

Wachezaji wa Yanga walio itwa timu za taifa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya ligi kusimama kupisha kalenda ya FIFA, Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amewapa wachezaji wake mapumziko ya siku chache kabla ya kurejea kuendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu utakaofuata


Oktoba 25 Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Azam Fc katika mchezo ambao alama tatu kwa Yanga zitawarejesha kileleni mwa msimamo wa ligi


Aidha wachezaji walioitwa kwa ajili ya majukumu ya timu za Taifa, wao wameelekea katika Mataifa yao


Wachezaji 10 wa Yanga wameitwa katika timu za Taifa. Wachezaji hao ni Djigui Diarra, Metacha Mnata, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Nickson Kibabage


Wengine ni Mudathir Yahya, Khalid Aucho, Stephane Aziz Ki na Clement MzizeDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz