Simba yaingia makubaliano na ATCL - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yaingia makubaliano na ATCL

 Simba yaingia makubaliano na ATCL

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Simba na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) leo zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kuipa klabu hiyo fursa ya kutumia huduma za Kampuni ya ATCL.


Akizungumza baada ya kufanya ziara ya kuishukuru ATCL kwa uhusiano mzuri na Simba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula alisema, "ATCL Mmekuwa washirika muhimu sana kwenye mafanikio ya Klabu ya Simba kwa kutupa usafiri wa uhakika na bora kwa ajili ya timu yetu. Tukielekea kwenye mechi ya AFL dhidi ya Al-Ahly tufurahi kujua kwamba ATCL itakuwa mbia muhimu kusafirisha mashabiki kutoka sehemu mbalimbali kuja kuangalia mchezo huo."


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa ATCL Jamal Athumani Kiggundu alisema, "ATCL inafurahi sana kuwa mbia wa Simba na iko tayari kufanya kazi pamoja na Simba katika kusafirisha timu na pia mashabiki."Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz