Mfahamu kocha mpya Singida FG, fundi wa mbinu kutoka Brazil - EDUSPORTSTZ

Latest

Mfahamu kocha mpya Singida FG, fundi wa mbinu kutoka Brazil

 Mfahamu kocha mpya Singida FG, fundi wa mbinu kutoka Brazil

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Ni Ricardo Ferreira kutoka nchini Brazil mbinu zake zitaanza kutumika ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate kwenye kusaka ushindi.


Mkataba wake ni wa mwaka mmoja kuwanoa mastaa wa Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Meddie Kagere, Beno Kakolanya, Bruno Gomes.


Yupo na msaidizi wake ambaye ni Andrew Barbosa hawa watafanya kazi kwa kushirikiana ndani ya timu hiyo.


Ni mikoba ya Ernst Middendrop alikuwa kocha wa timu hiyo akawaga manyanga mazima baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo mmoja wa Kombe la Shirikisho Afrika.


Kocha Ricardo ana rekodi ya kufundisha klabu kubwa barani Afrika kwa mafanikio zikiwemo Al Hilal, Al Merrikh SC na Ismaily SC.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz