Mafanikio ya timu 8 zinazoshiriki AFL kwenye mashindano ya CAF CL - EDUSPORTSTZ

Latest

Mafanikio ya timu 8 zinazoshiriki AFL kwenye mashindano ya CAF CL

 Mafanikio ya timu 8 zinazoshiriki AFL

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Michuano ya African Football League itaanza kurindima katika mechi ya ufunguzi kati ya Simba SC na Al Ahly ya Misri, Ijumaa hii Oktoba 20, 2023 katika Dimba la Mkapa.


Mafanikio ya timu nane ambazo zinazoshiriki michuano ya African Football League (AFL) kwenye mashindano ya CAFCL.


✅ Al Ahly ya Misri - Misri - Mkombe 11


✅ TP Mazembe ya Cobgo DR - Makombe 5


✅ Esperance ya Tunisia - Makombe 4


✅ Wydad Casablanca ya Morocco - Makombe 3


✅ Enyimba ya Nigeria - Makombe 2


✅ Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini - Kombe 1


❌ Petro de Luanda ya Angola - Makombe 0


❌ Simba SC ya Tazania - Makombe 0.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz