Haji Manara avunja ukimya Yanga Atoa kauli ya Kibabe - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara avunja ukimya Yanga Atoa kauli ya Kibabe

 Manara: Yanga Bingwa wa CAFCL msimu huu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema anaiona Yanga SC ikienda kushinda kikombe cha Klabu Bingwa Afrika msimu huu wa 2023/24.


Manara amesema kuwa amezitazama timu nyingi zilizofuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa na kuona inawezekana kwa Yanga SC kushinda kikombe hicho.


“Yanga SC wana uwezo wa kuchukua hiki kikombe, wana timu imara ya kishindani katika kila idara, hivyo inawezekana kabisa wakachukua kikombe.


“Kama hawajawa mabingwa wajitahidi kufika hata hatua ya nusu fainali, lakini robo fainali ni hatua ambayo Simba SC huwa wanafika,“ amesema Haji Manara.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz