Gamondi aomba mechi ya kirafiki Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Gamondi aomba mechi ya kirafiki Yanga

 Gamondi aomba mechi ya kirafiki Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kocha Miguel Gamondi amefunguka kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuboresha kikosi chake na kuleta usawa.


“Ni muda wa mapumziko, baadhi ya wachezaji wetu wameenda kujiunga na timu zao za taifa. Tutaendelea na mazoezi na hawa waliopo na lengo ni kuboresha na kuweka usawa wa kikosi chetu,” alisema Gamondi aliyeifikisha Yanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya miaka 25.


“Katika mazoezi haya tunatarajia kucheza mechi za kirafiki kadhaa kabla ya kurejea kwenye mashindano.”Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz