Azam yaichapa Coastal Union 1-0, wakwea kileleni kwenye msimamo - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam yaichapa Coastal Union 1-0, wakwea kileleni kwenye msimamo

 Azam yaichapa Coastal Union 1-0, wakwea kileleni kwenye msimamo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Azam FC wamezima kelele za Coastal Union kwa kuwachapa goli 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.


Azam walikuwa ugenini CCM Mkwakwani jijini Tanga ambapo walipata bao pekee la mchezo kupitia kwa kiungo wao Feisal Salum 'Fei Toto'.


Azam wamekwea kileleni kwenye msimamo kwa kufikisha alama 13 wakiwa wamecheza michezo mitano wakifuatiwa na Simba wenye alama 12 wakiwa wamecheza michezo minne huku Yanga wakiwa nafasi ya tatu na alama zao 9 wakiwa wamecheza michezo minne.


Kabla ya mchezo huo, Coastal Union walitamba kuwa wamejiwekea mkakati wa kushinda michezo yote ya nyumbani kwa operesheni yao waliyoiita operesheni kata ngebe lakini matokeo yake leo wamekatwa wao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz