Arsenal wafuta uteja kwa Man City EPL - EDUSPORTSTZ

Latest

Arsenal wafuta uteja kwa Man City EPL

Arsenal waliibuka na ushindi wa bao 1-0

 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Bao pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 86 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London.


Bao pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 86 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London. Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 20 katika nafasi ya pili, ikiizidi pointi mbili Manchester City huku ikizidiwa tu wastani wa mabao na vinara Tottenham Hotspur.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz