Yanga yajipima dhidi ya Kiluvya United

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Kikosi cha Yanga leo kimecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kiluvya United inayoshiriki First League


Mchezo huo uliopigwa Avic Town, umemalizika kwa Wananchi kuibuka na ushindi wa mabao 6-0


Washambuliaji Hafiz Konkoni na Kennedy Musonda kila mmoja alipachika mabao mawili


Mabao mengine yalifungwa na Farid Mussa na Crispine Ngushi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post