Yanga wamefanikiwa kuwavuruga Simba SC - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wamefanikiwa kuwavuruga Simba SC

Mashabiki wa Simba.

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mashabiki wa Klabu ya Yanga wamefanikiwa kuwapanikisha mashabiki wa watani zao wa jadi, Simba Sc kwa kiasi kikubwa bila wao kujiju.


Simba wakishinda hawaridhiki, wameingia kwenye mtego wa kuwasema vibaya wachezaji wao muhimu Shomari Kapombe na Mohamed Hussein.


Baleke anaongoza kwa ufungaji mabao ligi kuu mpaka sasa akiwa na mabao matano wakati anayemfuatia ana mabao 3, lakini husikii wakimsifia wao wanalia na kocha tu, wanasahau kocha hajafungwa mechi yoyote ya ligi tangu ajiunge na Simba, Kocha amewaondolea unyonge kwa Yanga akishinda mechi 2.


Yanga imefanikiwa nje ndani wameshinda goli 1-0 dhidi ya Namungo FC hawalalamiki wao kikubwa alama 3, presha wanayopewa Mashabiki wa Simba ikiingia kwa benchi la ufundi itakuwa hatari zaidi kwao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz