Wapinzani wa Yanga waendelea kupokea Vichapo - EDUSPORTSTZ

Latest

Wapinzani wa Yanga waendelea kupokea Vichapo

Wapinzani wa Yanga waendelea kupokea Vichapo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Al Merreikh imekubali kichapo cha goli 3-1 katika mchezo wa kirafiki hii leo dhidi ya Gorrila fC ya nchini Rwanda iliyo katika nafasi ya 11 ya msimamo wa Ligi kuu nchini Rwanda huku ikiwa haijapata ushindi wowote kwenye Ligi huku ikiambulia sare pekee.

Klabu ya Al Merreikh imekubali kichapo cha goli 3-1 katika mchezo wa kirafiki hii leo dhidi ya Gorrila fC ya nchini Rwanda iliyo katika nafasi ya 11 ya msimamo wa Ligi kuu nchini Rwanda huku ikiwa haijapata ushindi wowote kwenye Ligi huku ikiambulia sare pekee. Al Merreikh watacheza mchezo wao wa kutafuta tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi ya Yanga Jijini Kigali nchini Rwanda Septemba 16.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz