Viingilio mechi ya Simba vs Coastal union - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio mechi ya Simba vs Coastal union

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Kesho Alhamisi, Septemba 21 2023, Simba itashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Uongozi wa Simba umetangaza viingilio vya mchezo huo ambao Simba imepania kuibuka na ushindi ili kuendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 katika ligi kuu ya NBC msimu huu


VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz