Tetesi: Azam FC wanamtaka Sure Boy wao - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Azam FC wanamtaka Sure Boy wao

 Tetesi: Azam FC wanamtaka Sure Boy wao

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Young Africans Salum Aboubakar 'Sure Boy' Mkataba wake wa sasa na Waajiri Wake Young Africans Unaelekea Ukingoni Mwa Mwezi wa 12 Mwaka huu.


Tayari Uongozi wa Klabu hiyo umekaa chini na Mchezaji huyo Kwa Ajili ya Kuboroesha Mkataba wake Mpya.


Tetesi za awali ni kuwa Uongozi wa Klabu ya Azam FC Nao Unashinikiza Kumrejesha tena Kiungo Huyo Kwa Mara Nyingine Kwenye Klabu yao Huku Wakimuahidi Donge Nono la Pesa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz