SINGIDA FG yashusha kocha Mjerumani - EDUSPORTSTZ

Latest

SINGIDA FG yashusha kocha Mjerumani

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya kutangaza kuachana na Hans vs Pluijm, klabu ya Singida FC imemtambulisha Ernst Middendorp raia wa Ujerumani kuwa kocha mkuu wa timu hiyo


Rais wa Klabu Singida Fountain Gate Japhet Makau, amesema Middendorp amekuja na kocha msaidizi pamoja na kocha wa utimamu wa mwili (physic), ambao watawasili nchini siku za hivi karibuni


Middendorp amewahi kuvinoa vilabu vya Arminia Bielefeld na VfL Bochum za Bundesliga, Chippa United, Saint George, Kaizer Chiefs, Swallows FC, Maritzburg United na SV Meppen ya UjerumaniDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz