Mechi ya El Merrikh vs Yanga Kupigwa nchini Rwanda September 16 - EDUSPORTSTZ

Latest

Mechi ya El Merrikh vs Yanga Kupigwa nchini Rwanda September 16

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeitaarifu klabu ya Yanga kuwa mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya El Merrikh utapigwa katika uwanja wa Pele nchini Rwanda


Mchezo huo umepangwa kupigwa Septemba 16 na mchezo wa marudiano kupigwa jijini Dar es salaam Septemba 29


Awali kulikuwa na taarifa kuwa El Merrikh waliomba kubadili uwanja kuupeleka mchezo huo nchini Morocco lakini ni wazi maombi hayo yamegonga mwamba


Ni rasmi sasa Septemba 16 Rwanda inakwenda kuwa ya njano na kijani kwani Wananchi watakuwa kama wako Dar tuDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz